WAFANYAKAZI KWENYE KIWANDA CHA FOMI WAMEADIMISHA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Leo ijumaa tarehe mosi,Mei mwaka 2026 ndipo ulimwengu umeadimisha siku kuu ya wafanyakazi na kazi.Kwa hapa nchini kwetu siku hiyo imeadimishwa kwa kaulimbiu:"kazi ni heshima,kila murundi atumie kipaji chake kwa kujenga maono ya nchi".Wafanya kazi wa kiwanda kinachotengeneza mbolea wakiambatana na wafanyakazi wa Group Itracom HOLDING LTD" Wamejumuika na wengine
Read moreMkutano na wahusika wa ugawaji wa mbolea ya FOMI/Gitega
Idara inayohusika na biashara kwenye kiwanda cha FOMI,inaendelea cha kukutana na kufundisha wahusika wa ugawaji wa mbolea ya FOMI nchini.Juma inne,tarehe 28 Aprili,idara hiyo ilianzisha mkutano kwa ajili ya kufundisha wagawaji wa mbolea katika tarafa za Muramvya,Gitega na Mwaro mkoani Gitega.Katika mkutano huo,mkurugenzi wa biashara kwenye shirika la FOMI Jean
Read moreKWAMA HAFI ABAKOZI MU KUBAHIMIRIZA NA NTARYO KU NYIFATO IBEREYE MU KAZI ,NI VYO BIRANGA ISHIRAHAMWE FOMI.
Comportement responsable au sein de la FOMIPakua Ubuyobozi bujejwe itunganywa ryubahiriza ubuziranenge mw'ishirahamwe FOMI,aribwo bita Direction Management de Qualité,bwaratunganije uruganda rwo guhimiriza abarongoye ibisata vy'ubuzi bitandukanye biri mw'ishirahamwe FOMI,ivyababa vyabo,hamwe n'abanyamabanga b'abayobozi bakorera mw'ishirahamwe FOMI,ku nyifato ibereye, umukozi wese yogenderako mu kazi.Urwo ruganda rwatunganijwe kw'igenekerezo rya 25 ntwarante umwaka wa
Read moreMBOLEA YA FOMI IMEDHIRISHA KUWA NA UWEZO WA KURUDISHA RUTUBA ARDHI KWENYE SEHEMU NYINGI
https://www.facebook.com/photo/?fbid=1187039126937375&set=pcb.1187039210270700&cft[0]=AZamBBiErr5ZQSfYeyVFUSdy7fuBhc8NxnOwisN9ym0Kn9fieIl5XqS4xs3roG-Vfa3ljX3X_k34X6h05P0LqlCEVIJpBvmPRKb6DWI94aaU5elN1qLABPceLAddq2-qAHRAFTunF9CiWJ8hBMt0ObepqOniljBbfg6vMDY3tayZ1rwQtQxc8nPQselaHXkM7rI&tn=*b0H-R Ardhi yetu ilipoteza rutuba na ikapelekea kupoteza uwezo wake wa kuzalisha.Kupoteza rutuba kulisababishwa na kutohifadhi mazingira vizuri,kutotengeneza mistari ya kudhibiti maji kwenye sehemu ya mitiririko na kukata miti.Wakiwa na lengo la kutaka kuongeza uzalishaji,wakulima walitumia mbolea ya kizungu: DAP,MOP na Urea.Kuvuna walikua wakivuna lakini mbolea hiyo ilisababisha ardhi kupoteza
Read moreWizara ya kilimo,ufugaji na mazingira inatia moyo wakulima kuhusu ukosefu wa mbolea#FOMI
Kwenye warsha ilioabdaliwa na MAC leo alhamisi kwenye Hoteli ya source du Nil jijini Bujumbura ili watasmini shughuli ambazo wamezifanya toka mwaka wa 2022 hadi 2025,walioshika na fasi kuchangia wote wameshukuru mafundisho waliopewa na wafanyakazi wa FOMI kuhusu namna ya kurutubisha ardhi kwa kutumia mbolea za FOMI.Mwenyekiti #MAC NDUWIMANA Aimé
Read moreTimu ya Burundi Black Eagle ilikabiliana na ASAS Djibouti Télécom kutoka Djibouti.
Tarehe 21 Septemba 2025, timu ya Burundi Aglai Noir ilikabiliana na ASAS Djibouti Telecom kutoka Djibouti.Mchezo huu ulifanyika katika mkoa wa Bujumbura, kwenye uwanja wa Intwari, na uliisha kwa sare ya (0–0). Kampuni ya FOMI, inayozalisha mbolea za kikaboni na madini, ilikuwa miongoni mwa makampuni yaliyoidhamini mechi hii.Wakurugenzi wa idara
Read moreMawaziri watatu (3) wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) walitembelea kampuni ya FOMI.
https://youtu.be/0iLMyPJ7VXg
Read moreKiongozi wa taasisi inayosimamia mbolea nchini Tanzania anasifu jinsi kiwanda cha FOMI kinavyozalisha na kusambaza mbolea kuwafikia wakulima.
Jumatatu, tarehe 8 Julai 2025, kampuni inayozalisha mbolea ya kikaboni na ya madini, FOMI, ilipokea wageni kutoka nchini Tanzania. Walikuwa wakiongozwa na mkuu wa taasisi ya udhibiti wa mbolea nchini Tanzania, Tanzania Fertilizer Regulatory Authority, Dkt. Antony Diallo. Katika hotuba yake ya ukaribisho, Mkurugenzi Mkuu wa FOMI, Simon Ntirampeba, aliwapatia
Read more