dustra
  • Nyumbani
  • Kuhusu Sisi
  • Bidhaa Zetu
    • FOMI-IMBURA
    • FOMI-TOTAHAZA
    • FOMI-BAGARA
    • CHAUX AGRICOLE
  • Timu
  • Habari
  • Wasiliana Nasi
  • Lugha
    • ENG
    • FRA
    • KIR

WAFANYAKAZI KWENYE KIWANDA CHA FOMI WAMEADIMISHA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI - FOMI-Sw

  • Home
  • WAFANYAKAZI KWENYE KIWANDA CHA FOMI WAMEADIMISHA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
  • Mei 2, 2026
  • FOMI

Leo ijumaa tarehe mosi,Mei mwaka 2026 ndipo ulimwengu umeadimisha siku kuu ya wafanyakazi na kazi.Kwa hapa nchini kwetu siku hiyo imeadimishwa kwa kaulimbiu:”kazi ni heshima,kila murundi atumie kipaji chake kwa kujenga maono ya nchi”.Wafanya kazi wa kiwanda kinachotengeneza mbolea wakiambatana na wafanyakazi wa Group Itracom HOLDING LTD” Wamejumuika na wengine kwenye mkoa wa Bujumbura kuadimisha siku kuu hiyo kwa kauli mbiu ya “Pamoja na FOMI tuitunze ardhi yetu,tuongeze uzalishaji tukizingatia maono ya nchi.Makamu wa Raisi wa jamhuri ya Burundi .

Prosper BAZOMBANZA ambaye alisimamia sherehe hapa mkoa wa Bujumbura akijurisha kwamba kupenda nchi haswa kwa wakati huu ambapo tuna nia yakufikia maono ya nchi ,ni kufanya kazi tukiheshimu sheria za nchi.Na anaye penda nchi anajitoa kwa moyo wake wote na kupa kipaumbele ustawi wa uma,kusaidia serikali kusota kidole wakula rushwa,kulipa kodi na kupambana na mafisadi.Kuipenda nchi ni kutunza mazingira na ardhi ambavyo ni muhimili wa maendeleo

Mkutano na wahusika wa ugawaji wa mbolea ya FOMI/Gitega
NGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026

Recent Posts

  • NGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026
  • WAFANYAKAZI KWENYE KIWANDA CHA FOMI WAMEADIMISHA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
  • Mkutano na wahusika wa ugawaji wa mbolea ya FOMI/Gitega
  • KWAMA HAFI ABAKOZI MU KUBAHIMIRIZA NA NTARYO KU NYIFATO IBEREYE MU KAZI ,NI VYO BIRANGA ISHIRAHAMWE FOMI.
  • Mkutano na waandishi wa habari wa kampuni ya Fomi kuhusu uzalishaji na usambazaji wa mbolea tarehe 31/12/2025.

Recent Comments

Hamna maoni ya kuonyesha.

Category

  • Uncategorized (10)

Wasiliana Nasi

  • Route de l'Aéroport(RN5)-Zone Mutimbuzi
  • info@fomi.bi

Bidhaa Zetu

  • FOMI-IMBURA
  • FOMI-TOTAHAZA
  • FOMI-BAGARA
  • CHAUX AGRICOLE

Saa za ufunguzi

  • Jumatatu :
    8.00 - 17.00
  • Jumanne :
    8.00- 17.00
  • Jumatano :
    8.00 - 17.00
  • Alhamisi - Ijumaa :
    8.00 - 17.00
  • Jumamosi :
    8.00 - 13.00
  • Jumapili :
    Imefungwa

© 2025 FOMI- Designed by Manix MUGISHA.

dustra