dustra
  • Nyumbani
  • Kuhusu Sisi
  • Bidhaa Zetu
    • FOMI-IMBURA
    • FOMI-TOTAHAZA
    • FOMI-BAGARA
    • CHAUX AGRICOLE
  • Timu
  • Habari
  • Wasiliana Nasi
  • Lugha
    • ENG
    • FRA
    • KIR

NGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026 - FOMI-Sw

  • Home
  • NGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026
  • Mei 20, 2026
  • FOMI

Watumishi kwenye kampuni ya FOMI walifanya ziara tarehe 18 Mei,2026 tarafa ya Ngozi mkoa wa Butanyerera.Walipata kutembelea shamba la bw.NIYONZIMA Félix anezalisha mbegu.Shamba hilo liko mtaa wa Gitazi,zoni ya Mwumba.Bw.Félix NIYONZIMA anazalisha mbegu za viazi,mahindi na maharagwe.Kuhusu mahondi aneeleza kua yuko anazalisha mbegu kwenye shamba la hekari 5 akieleza kua mbegu alizozipanda ni za awali alizozipata toka tasisi ya ISABU ambapo mavuno anayoyategemea ni takribani tani kumi na tano.Mkulima huo anafafanua kwamba mavuno mazuri hayo anatokana na uandaji mzuri wa shamba,kuweka chokaa ya kilimo ili kupambana na aside,na kutumia mbolea za FOMI.Kuhusu mbolea ya FOMI,bw.Félix anazisifia akieleza kua zilirudisha rutuba ya ardhi na kusababisha uzalishaji kua mkubwa.Changamoto kwake ni kwamba anasehemu kubwa ya kulima na hua inatokea kupata mbolea kwa kiwango cha chini ukilinganisha na mbolea alioagiza.Bw,Félix anaomba serikali kudndelea kuunga mkono kampuni ya FOMI kwa kuyiwezesha kupata mahitaji ili wakatengeneze mbolea kwa kiwango kinachotoshereza wakulima na waweze pia kutoa mbolea kwa wakati mzuri.Wakulima wanapopata mbolea kwa wakati mzuri mavuno hua yanakua mazuri na yakuridhish

WAFANYAKAZI KWENYE KIWANDA CHA FOMI WAMEADIMISHA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Recent Posts

  • NGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026
  • WAFANYAKAZI KWENYE KIWANDA CHA FOMI WAMEADIMISHA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
  • Mkutano na wahusika wa ugawaji wa mbolea ya FOMI/Gitega
  • KWAMA HAFI ABAKOZI MU KUBAHIMIRIZA NA NTARYO KU NYIFATO IBEREYE MU KAZI ,NI VYO BIRANGA ISHIRAHAMWE FOMI.
  • Mkutano na waandishi wa habari wa kampuni ya Fomi kuhusu uzalishaji na usambazaji wa mbolea tarehe 31/12/2025.

Recent Comments

Hamna maoni ya kuonyesha.

Category

  • Uncategorized (10)

Wasiliana Nasi

  • Route de l'Aéroport(RN5)-Zone Mutimbuzi
  • info@fomi.bi

Bidhaa Zetu

  • FOMI-IMBURA
  • FOMI-TOTAHAZA
  • FOMI-BAGARA
  • CHAUX AGRICOLE

Saa za ufunguzi

  • Jumatatu :
    8.00 - 17.00
  • Jumanne :
    8.00- 17.00
  • Jumatano :
    8.00 - 17.00
  • Alhamisi - Ijumaa :
    8.00 - 17.00
  • Jumamosi :
    8.00 - 13.00
  • Jumapili :
    Imefungwa

© 2025 FOMI- Designed by Manix MUGISHA.

dustra