FAHAMU WAKATI MZURI WA KUTUMIA CHOKAA YA KILIMO
Wakati huu wakulima wako wanajiandaa kwenye musimu wa kilimo A. Mukulima anaejiandalia musimu wa kilimo A, asisahau utumiaji wa chokaa ya kilimo. Munaweza mukajiuliza umuhimu wa chokaa ya kilimo ni upi? Kama inavyoelezwa na watalaamu kuhusu utumiaji wa mbolea, chokaa ya kilimo ni tofauti na aina zingine za chokaa. Kaboneka
Soma ZaidiWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BURKINA FASO ANAFURAHIA MAONO YA SHIRIKA LA FOMI YA KUENDELEZA SEGITA YA KILIMO
Alhamisi hii ya tarehe 13 Agosti 2026, shirika la FOMI limepokea wageni kutokea Burkina Faso wakiongozwa na Mheshimiwa waziri wao mambo ya nje Karamoko Jean Marie Traoré. Kwenye neno lake la ukaribisho, makamu Mkurugenzi mkuu wa FOMI alijulisha kwamba FOMI ni mmoja wapo wa matawi yanayo unda shirika la Itracom
Soma ZaidiFOMI: MALIGHAFI ZINAZOHITAJIKA KWA KUTENGENEZA MBOLEA ZAENDELEA KUFIKA
Gari kubwa kubwa zinaendelea kufikisha malighafi zinazohitajika kwa kutengenezea mchanganyiko wa mbolea asili na za madini kwenye kiwanda cha FOMI Bujumbura. Wafanyakazi walikua wakipakua vifaa hivyo na kuviweka kwenye store huku magari mengine mengi akiwa amepaki akisubiri kupakuliwa.Tuwakumbushe kwamba FOMI Imbura ni mbolea inayotumiwa na wakulima kwa kupanda mazao kama
Soma ZaidiUKAGUZI KUHUSU UTEKELEZAJI WA KANUNI ZA ISO KWENYE SHUGHULI ZA SHIRIKA LA FOMI
Toka Alhamisi tarehe 23 julai 2026,shirika la FOMI limefanyiwa ukaguzi uliofanywa na mkagizi kitokea inje akitokea kwenye shirika la SQS(Shirika la usuissi la mfumo wa sifa na manajimenti).Ukaguzi huo ulihusiana na ISO anbazo FOMI ilipata tayari vyeti vyake toka 2021 nazo ni ISO9001:2015,ISO14001:2015 na ISO45001:2018.Baada ya ukaguzi ambayo imefanyika kwa
Soma ZaidiNGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026
Watumishi kwenye kampuni ya FOMI walifanya ziara tarehe 18 Mei,2026 tarafa ya Ngozi mkoa wa Butanyerera.Walipata kutembelea shamba la bw.NIYONZIMA Félix anezalisha mbegu.Shamba hilo liko mtaa wa Gitazi,zoni ya Mwumba.Bw.Félix NIYONZIMA anazalisha mbegu za viazi,mahindi na maharagwe.Kuhusu mahondi aneeleza kua yuko anazalisha mbegu kwenye shamba la hekari 5 akieleza kua
Soma ZaidiWAFANYAKAZI KWENYE KIWANDA CHA FOMI WAMEADIMISHA SIKU KUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Leo ijumaa tarehe mosi,Mei mwaka 2026 ndipo ulimwengu umeadimisha siku kuu ya wafanyakazi na kazi.Kwa hapa nchini kwetu siku hiyo imeadimishwa kwa kaulimbiu:"kazi ni heshima,kila murundi atumie kipaji chake kwa kujenga maono ya nchi".Wafanya kazi wa kiwanda kinachotengeneza mbolea wakiambatana na wafanyakazi wa Group Itracom HOLDING LTD" Wamejumuika na wengine
Soma ZaidiMkutano na wahusika wa ugawaji wa mbolea ya FOMI/Gitega
Idara inayohusika na biashara kwenye kiwanda cha FOMI,inaendelea cha kukutana na kufundisha wahusika wa ugawaji wa mbolea ya FOMI nchini.Juma inne,tarehe 28 Aprili,idara hiyo ilianzisha mkutano kwa ajili ya kufundisha wagawaji wa mbolea katika tarafa za Muramvya,Gitega na Mwaro mkoani Gitega.Katika mkutano huo,mkurugenzi wa biashara kwenye shirika la FOMI Jean
Soma ZaidiKWAMA HAFI ABAKOZI MU KUBAHIMIRIZA NA NTARYO KU NYIFATO IBEREYE MU KAZI ,NI VYO BIRANGA ISHIRAHAMWE FOMI.
Comportement responsable au sein de la FOMIPakua Ubuyobozi bujejwe itunganywa ryubahiriza ubuziranenge mw'ishirahamwe FOMI,aribwo bita Direction Management de Qualité,bwaratunganije uruganda rwo guhimiriza abarongoye ibisata vy'ubuzi bitandukanye biri mw'ishirahamwe FOMI,ivyababa vyabo,hamwe n'abanyamabanga b'abayobozi bakorera mw'ishirahamwe FOMI,ku nyifato ibereye, umukozi wese yogenderako mu kazi.Urwo ruganda rwatunganijwe kw'igenekerezo rya 25 ntwarante umwaka wa
Soma ZaidiMBOLEA YA FOMI IMEDHIRISHA KUWA NA UWEZO WA KURUDISHA RUTUBA ARDHI KWENYE SEHEMU NYINGI
https://www.facebook.com/photo/?fbid=1187039126937375&set=pcb.1187039210270700&cft[0]=AZamBBiErr5ZQSfYeyVFUSdy7fuBhc8NxnOwisN9ym0Kn9fieIl5XqS4xs3roG-Vfa3ljX3X_k34X6h05P0LqlCEVIJpBvmPRKb6DWI94aaU5elN1qLABPceLAddq2-qAHRAFTunF9CiWJ8hBMt0ObepqOniljBbfg6vMDY3tayZ1rwQtQxc8nPQselaHXkM7rI&tn=*b0H-R Ardhi yetu ilipoteza rutuba na ikapelekea kupoteza uwezo wake wa kuzalisha.Kupoteza rutuba kulisababishwa na kutohifadhi mazingira vizuri,kutotengeneza mistari ya kudhibiti maji kwenye sehemu ya mitiririko na kukata miti.Wakiwa na lengo la kutaka kuongeza uzalishaji,wakulima walitumia mbolea ya kizungu: DAP,MOP na Urea.Kuvuna walikua wakivuna lakini mbolea hiyo ilisababisha ardhi kupoteza
Soma Zaidi