dustra
  • Nyumbani
  • Kuhusu Sisi
  • Bidhaa Zetu
    • FOMI-IMBURA
    • FOMI-TOTAHAZA
    • FOMI-BAGARA
    • CHAUX AGRICOLE
  • Timu
  • Habari
  • Wasiliana Nasi
  • Lugha
    • ENG
    • FRA
    • KIR

Habari - FOMI-Sw - Page 2

  • Home
  • Blog
  • Page 2
  • Disemba 4, 2025
  • FOMI

Wizara ya kilimo,ufugaji na mazingira inatia moyo wakulima kuhusu ukosefu wa mbolea#FOMI

Kwenye warsha ilioabdaliwa na MAC leo alhamisi kwenye Hoteli ya source du Nil jijini Bujumbura ili watasmini shughuli ambazo wamezifanya toka mwaka wa 2022 hadi 2025,walioshika na fasi kuchangia wote wameshukuru mafundisho waliopewa na wafanyakazi wa FOMI kuhusu namna ya kurutubisha ardhi kwa kutumia mbolea za FOMI.Mwenyekiti #MAC NDUWIMANA Aimé

Soma Zaidi
  • Disemba 4, 2025
  • FOMI

Timu ya Burundi Black Eagle ilikabiliana na ASAS Djibouti Télécom kutoka Djibouti.

Tarehe 21 Septemba 2025, timu ya Burundi Aglai Noir ilikabiliana na ASAS Djibouti Telecom kutoka Djibouti.Mchezo huu ulifanyika katika mkoa wa Bujumbura, kwenye uwanja wa Intwari, na uliisha kwa sare ya (0–0). Kampuni ya FOMI, inayozalisha mbolea za kikaboni na madini, ilikuwa miongoni mwa makampuni yaliyoidhamini mechi hii.Wakurugenzi wa idara

Soma Zaidi
  • Disemba 4, 2025
  • FOMI

Mawaziri watatu (3) wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) walitembelea kampuni ya FOMI.

https://youtu.be/0iLMyPJ7VXg

Soma Zaidi
  • Disemba 2, 2025
  • FOMI

Kiongozi wa taasisi inayosimamia mbolea nchini Tanzania anasifu jinsi kiwanda cha FOMI kinavyozalisha na kusambaza mbolea kuwafikia wakulima.

Jumatatu, tarehe 8 Julai 2025, kampuni inayozalisha mbolea ya kikaboni na ya madini, FOMI, ilipokea wageni kutoka nchini Tanzania. Walikuwa wakiongozwa na mkuu wa taasisi ya udhibiti wa mbolea nchini Tanzania, Tanzania Fertilizer Regulatory Authority, Dkt. Antony Diallo. Katika hotuba yake ya ukaribisho, Mkurugenzi Mkuu wa FOMI, Simon Ntirampeba, aliwapatia

Soma Zaidi
  • 1
  • 2

Recent Posts

  • FAHAMU WAKATI MZURI WA KUTUMIA CHOKAA YA KILIMO
  • WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BURKINA FASO ANAFURAHIA MAONO YA SHIRIKA LA FOMI YA KUENDELEZA SEGITA YA KILIMO
  • FOMI: MALIGHAFI ZINAZOHITAJIKA KWA KUTENGENEZA MBOLEA ZAENDELEA KUFIKA
  • UKAGUZI KUHUSU UTEKELEZAJI WA KANUNI ZA ISO KWENYE SHUGHULI ZA SHIRIKA LA FOMI
  • NGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026

Recent Comments

Hamna maoni ya kuonyesha.

Category

  • Uncategorized (11)
  • Yanayojili (3)

Tags

Bujumbura Burkina Faso Burundi FOMI Itracom Holding Karamoko Jean Marie Traoré Mbolea

Wasiliana Nasi

  • Route de l'Aéroport(RN5)-Zone Mutimbuzi
  • info@fomi.bi

Bidhaa Zetu

  • FOMI-IMBURA
  • FOMI-TOTAHAZA
  • FOMI-BAGARA
  • CHAUX AGRICOLE

Saa za ufunguzi

  • Jumatatu :
    8.00 - 17.00
  • Jumanne :
    8.00- 17.00
  • Jumatano :
    8.00 - 17.00
  • Alhamisi - Ijumaa :
    8.00 - 17.00
  • Jumamosi :
    8.00 - 13.00
  • Jumapili :
    Imefungwa

© 2025 FOMI- Designed by Manix MUGISHA.

dustra