dustra
  • Nyumbani
  • Kuhusu Sisi
  • Bidhaa Zetu
    • FOMI-IMBURA
    • FOMI-TOTAHAZA
    • FOMI-BAGARA
    • CHAUX AGRICOLE
  • Timu
  • Habari
  • Wasiliana Nasi
  • Lugha
    • ENG
    • FRA
    • KIR

FAHAMU WAKATI MZURI WA KUTUMIA CHOKAA YA KILIMO - FOMI-Sw

  • Home
  • FAHAMU WAKATI MZURI WA KUTUMIA CHOKAA YA KILIMO
  • Agosti 18, 2026
  • REDACTION

Wakati huu wakulima wako wanajiandaa kwenye musimu wa kilimo A. Mukulima anaejiandalia musimu wa kilimo A, asisahau utumiaji wa chokaa ya kilimo. Munaweza mukajiuliza umuhimu wa chokaa ya kilimo ni upi? Kama inavyoelezwa na watalaamu kuhusu utumiaji wa mbolea, chokaa ya kilimo ni tofauti na aina zingine za chokaa. Kaboneka Salvator ni mwalimu chuo kikuu na ni mutalaam kwenye maswala ya kutumia mbolea anaeleza kwamba chokaa ya kilimo ni chokaa yenye chumvichumvi cha Kalisiamu(CaO)na magnesiamu(MgO). Chumvichumvi hizo ndizo pekee zinazoweza kupambana na asidi mbaya inayofahamika kama aliminiamu. Kaboneka Salvator anashahuri wakulima kuandaa vizuri mashamba, kuweka chokaa ya kilimo angalau mwezi mmoja kabla ya kupanda. Kando na kuweka mbolea ya kilimo, mtalaamu huyo anatoa wito kwa wakulima kufutilia pia ushahuri na utalaamu wanaopewa na mafundi shamba. Fahamu kwamba kiwanda cha FOMI kinatengeneza chokaa ya kilimo ambayo ni bora wakitumia utalaamu unaokubalika na kwamba kila mukulima anaeyihitaji anaweza akayipata.

Tags:

BurundiFOMI
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BURKINA FASO ANAFURAHIA MAONO YA SHIRIKA LA FOMI YA KUENDELEZA SEGITA YA KILIMO

Recent Posts

  • FAHAMU WAKATI MZURI WA KUTUMIA CHOKAA YA KILIMO
  • WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BURKINA FASO ANAFURAHIA MAONO YA SHIRIKA LA FOMI YA KUENDELEZA SEGITA YA KILIMO
  • FOMI: MALIGHAFI ZINAZOHITAJIKA KWA KUTENGENEZA MBOLEA ZAENDELEA KUFIKA
  • UKAGUZI KUHUSU UTEKELEZAJI WA KANUNI ZA ISO KWENYE SHUGHULI ZA SHIRIKA LA FOMI
  • NGOZI: MUZALISHAJI WA MBEGU BW,NIYONZIMA FELIX ANATEGEMEA MAVUNO MAZURI YA MAHINDI YALIOPANDWA MWEZI JANUARI,2026

Recent Comments

Hamna maoni ya kuonyesha.

Category

  • Uncategorized (11)
  • Yanayojili (3)

Tags

Bujumbura Burkina Faso Burundi FOMI Itracom Holding Karamoko Jean Marie Traoré Mbolea

Wasiliana Nasi

  • Route de l'Aéroport(RN5)-Zone Mutimbuzi
  • info@fomi.bi

Bidhaa Zetu

  • FOMI-IMBURA
  • FOMI-TOTAHAZA
  • FOMI-BAGARA
  • CHAUX AGRICOLE

Saa za ufunguzi

  • Jumatatu :
    8.00 - 17.00
  • Jumanne :
    8.00- 17.00
  • Jumatano :
    8.00 - 17.00
  • Alhamisi - Ijumaa :
    8.00 - 17.00
  • Jumamosi :
    8.00 - 13.00
  • Jumapili :
    Imefungwa

© 2025 FOMI- Designed by Manix MUGISHA.

dustra