FAHAMU WAKATI MZURI WA KUTUMIA CHOKAA YA KILIMO
Wakati huu wakulima wako wanajiandaa kwenye musimu wa kilimo A. Mukulima anaejiandalia musimu wa kilimo A, asisahau utumiaji wa chokaa ya kilimo. Munaweza mukajiuliza umuhimu wa chokaa ya kilimo ni upi? Kama inavyoelezwa na watalaamu kuhusu utumiaji wa mbolea, chokaa ya kilimo ni tofauti na aina zingine za chokaa. Kaboneka
Read moreWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BURKINA FASO ANAFURAHIA MAONO YA SHIRIKA LA FOMI YA KUENDELEZA SEGITA YA KILIMO
Alhamisi hii ya tarehe 13 Agosti 2026, shirika la FOMI limepokea wageni kutokea Burkina Faso wakiongozwa na Mheshimiwa waziri wao mambo ya nje Karamoko Jean Marie Traoré. Kwenye neno lake la ukaribisho, makamu Mkurugenzi mkuu wa FOMI alijulisha kwamba FOMI ni mmoja wapo wa matawi yanayo unda shirika la Itracom
Read moreFOMI: MALIGHAFI ZINAZOHITAJIKA KWA KUTENGENEZA MBOLEA ZAENDELEA KUFIKA
Gari kubwa kubwa zinaendelea kufikisha malighafi zinazohitajika kwa kutengenezea mchanganyiko wa mbolea asili na za madini kwenye kiwanda cha FOMI Bujumbura. Wafanyakazi walikua wakipakua vifaa hivyo na kuviweka kwenye store huku magari mengine mengi akiwa amepaki akisubiri kupakuliwa.Tuwakumbushe kwamba FOMI Imbura ni mbolea inayotumiwa na wakulima kwa kupanda mazao kama
Read more