
Toka Alhamisi tarehe 23 julai 2026,shirika la FOMI limefanyiwa ukaguzi uliofanywa na mkagizi kitokea inje akitokea kwenye shirika la SQS(Shirika la usuissi la mfumo wa sifa na manajimenti).Ukaguzi huo ulihusiana na ISO anbazo FOMI ilipata tayari vyeti vyake toka 2021 nazo ni ISO9001:2015,ISO14001:2015 na ISO45001:2018.Baada ya ukaguzi ambayo imefanyika kwa suku mbili,mkaguzi Raymond Teguza aliridhishwa na hatua nzuri ambayo ilipigwa na FOMI kwa kufanya kazi ikiheshimu kanuni za kimataifa ISO ambazo zimetajwa hapo juu.Alijulisha kwamba hakuna kukiuka kanuni iliojitokeza na akaekeza kua FOMI inabaki na vyeti vyake.Pamoja na hayo,mkaguzi alitoa baadhi ya sehemu ambapo kunahitajika marekebisho ili kuweza kubaki na vyeti vyake na kutunza sura yake ya shirika linalo heshimika nchini na nchi za inje huku likiendele kujiandaa kwa kupata cheti kwa mara nyingine mwaka hujao.









