FAHAMU MENGI YALIOFANYWA NA KIWANDA CHA FOMI KATIKA MIAKA SABA IKITEREZA SHUGHULI ZAKE
Kipindi cha 1 Kiwanda cha FOMI kina makao makuu yake Maramvya,Zone ya Mutimbuzi, wilaya ya Ntahangwa, mkoa wa Bujumbura. Kiwanda hicho kilianza shughuli zake mwaka wa 2019 na kinapatikana karibu ya kiwanja cha ndege cha kimataifa Melchior NDADAYE. FOMI ni kifupi cha maneno ya kifaransa Fertilisants Organo-Mineraux na tafsiri yake
Read moreWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BURKINA FASO ANAFURAHIA MAONO YA SHIRIKA LA FOMI YA KUENDELEZA SEGITA YA KILIMO
Alhamisi hii ya tarehe 13 Agosti 2026, shirika la FOMI limepokea wageni kutokea Burkina Faso wakiongozwa na Mheshimiwa waziri wao mambo ya nje Karamoko Jean Marie Traoré. Kwenye neno lake la ukaribisho, makamu Mkurugenzi mkuu wa FOMI alijulisha kwamba FOMI ni mmoja wapo wa matawi yanayo unda shirika la Itracom
Read more