Leo hii tarehe mosi mwaka 2025,ndipo warundi wameungana na inchi zingine kuadimisha siku kuu ya wafanyskazi na kazi.Kwa hapa Burundi,siku kuu imeadimishwa kwa kauli mbiu ifuatayo:”Tuongeze uzalishaji tukizingatia muelekeo wa inchi yenye kasi ya kuendelea munamo mwaka 2040 na inchi tajiri 2060. Ikichukulia kauli mbiu hiyo ya inchi,kiwanda kinachotengeneza mbolea ya kikaboni ambayo imechanganywa na madini FOMI nacho kimeungana na wengine kuadimisha siku kuu hiyo kwa kauli mbiu ya:” Tutumie vizuri mbolea na chokaa ya kilimo vinavyotengezwa na Fomi FOMI,tuongeze uzalishaji,tukichukulia muelekeo wa inchi yenye kasi ya kuendelea munamo mwaka wa 2040 na tajiri mwaka wa 2060.
Sherehe kwenye ngazi ya inchi zimefanyika mjini Bujumbura kwenye Kiwanja cha michezo Intwari stadium ambapo shere nyingi zimefangika zikianzishwa na gwaride ndefu ya wafanyakazi kwenye segita za kikazi mbalimbali
Wafanyakazi kwenye kampuni ya FOMI ambao wamewakilisha wengine kwenye sherehe hizo walikuwa wakionekana kuwa na furaha inayoonyesha kwamba FOMI imezingatia kutimiza wajibu wake wa kuwasaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa kilimo kwa kuwapatia mbolea kabambe ya kuwezesha uzalishaji kuwa mkubwa,kurudisha rutuba ya ardhi na kutunza mazingira ili Burundi iweze kuyafikia malengo yake ikipitia kilimo.
Kwenye hotuba yake ,Raisi wa jamuhuri Mheshimiwa Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye alisisitiza kuhusu kuongeza uzalishaji,kuunda utajiri mpya kila siku huku akiwashukuru wafanyakazi wanaotumia mda vizuri.Tukomeshe tabia ya kudharau kazi maana mdharau kazi hufa masikini.Alimaliza hotuba yake akitakia wafanyakazi na watoakazi kila la heri. Baada ya sherehe,wafanyakazi wa FOMI wameendelea sherehe makao makuu ya FOMI ambayo yako kata ya Maramvya,tarafani Mutimbuzi ambapo wamechangia siku kuu vinywaji na mlo na matawi mengine ya ITRACOM HOLDING navyo ni vifuatavyo ITRACOM ambayo inahusika na Transportation,FOMI ambayo Burundi ambayo inatengeneza mbolea hapa Burundi,ITRACOM Fertilizers ambayo inatengeneza mbolea Tanzania,INKINZO ambayo inahusika na insurance,Benki ya wakulima BCAB,ITRAPACK ambayo inatengeneza mifuko ya kubebelea ambayo ha yiathiri mazingira na ITRASAGRI amayo inazalisha mbegu bora huku wakifurahi pamoja na muanzirishi wa ITRACOM HOLDING muheshimiwa Ntigacika Adriano.
La société de fertilisants organo minéraux FOMI, vient de passer 6ans au service de la nation en approvisionnant aux agricultures des fertilisants de qualités qui ne dégradent pas le sol, qui permettent l’augmentation de la production et la protection de l’environnement
Les agriculteurs qui utilisent ces fertilisants sont satisfaits parce qu’ils ont déjà vu la différence entre ces engrais et les engrais classiques, en ce qui concerne la production agricole. La FOMI donc, est une société qui contribue au développement du pays ,parce que l’agriculture est l’un des grands piliers du développement du pays .C’est dans cette même ordre d’idées que la société reçoit des étudiants stagiaires des différentes universités pour renforcer leurs capacités sur les connaissances acquises en classes et leurs travaux pratiques sont faites dans les enceintes de la société FOMI . La Direction de recherche à la FOMI ne cesse d’accueillir avec bienveillance ces étudiants qui ont fait leurs études dans le domaine d’agriculture aux universités du Burundi ou à l’étranger.
Au début de ce mois d’Avril ,certains des étudiants de l’université Lumière de Bujumbura ,font des stages académiques à la FOMI où ils sont encadrés par des techniciens de cette direction de recherche de la FOMI ,disent qu’ ils attendent de dons résultats à la fin de leurs stages .Certains disent qu’ ils ont soif de savoir comment les fertilisants FOMI se comportent sur les plantes, par rapport aux engrais classiques aussi appelés engrais chimiques, au moment où les autres affirment qu’ ils sont venus pour acquérir des connaissances dans cette société qui joue un rôle important dans le développement du pays ,pour qu’ ils se servent de ces connaissances à leur tour ,pour développer le pays et leurs familles respectives. Ils demandent les responsables de la FOMI de continuer à donner des opportunités aux autres étudiants qui veulent faire des recherches et mettre en application les connaissances acquises en classe. Là où nous les avons trouvés sur terrain, ils étaient en train de préparer les champs en y mettant de la fumure organique, pour y mettre des plants après. BAYUBAHE Jackson ,chef de service de recherche agronomique à la FOMI dit que recevoir des étudiants stagiaires est un honneur pour la société FOMI, parce que c’est une autre contribution au développement du pays .Il dit que ces étudiants sont repartis dans les différents secteurs selon leur domaine de formation .Quant à lui ,le développement durable est fondé sur l’agriculture .BAYUBAHE Jackson dit aussi que les fertilisants FOMI contribuent au développement durable compte tenu de la manière dont ils sont fabriqués parce que selon lui, les fertilisants permettent l’augmentation de la production ,la restauration du sol et la protection de l’environnement.
BAYUBAHE Jackson dit que ces étudiants de l’université lumière de Bujumbura feront des recherches sur les plantes comme les légumineuses es et le riz, pour voir comment ces fertilisants se conduisent sur la production agricole , par rapport aux engrais classiques .Il leur demande de prendre des concentrations et de demander des éclaircissements partout où il rencontrent des ambiguïtés .Il dit que beaucoup des étudiants viennent faire des stages à la FOMI parce qu’ ils y trouvent des avantages en ce qui concerne la formation qu’ ils y trouvent.
La Société FOMI a reçu le lundi 17 mars 2025, une délégation d’étudiants de l’Ecole Supérieure de Commandement et d’Etat-major, parmi eux y avaient des étudiants des pays de la Communauté d’Afrique de l’Est, qui venaient effectuer un voyage d’étude à la Société FOMI.
Le Directeur Général Adjoint de FOMI MANYANGE Hermenegilde qui les a accueillis, au nom du Directeur Général de la FOMI, leur a brièvement présenté l’entreprise et a déclaré que FOMI est en fait à un niveau de satisfaction et contribue beaucoup au développement du pays. Il les a ensuite invités à suivre la présentation de la société.
Dans sa présentation, le Directeur de Recherche Dr Syldie BIZIMANA, a montré ce qu’est la Société FOMI, sa genèse, l’importance de ses engrais, le processus de production et la qualité, les différents types d’engrais qui sont FOMI Imbura, fomi Bagara, Fomi Totahaza et la chaux agricole, ainsi que la valeur ajoutée des engrais Fomi pour les agriculteurs et pour le développement du pays. Il a précisé que les la société dispose des capacités nécessaires pour produire n’importe quel type d’engrais selon les exigences des clients.
Certaines des questions posées par les étudiants, ils ont voulu savoir comment la FOMI arrive à convaincre les agriculteurs que ces produits sont de bonne qualité, puisque certaines personnes ont l’habitude de dire que les choses faites au Burundi ne sont pas de bonne qualité et de dire que les engrais Fomi ne sont pas bons notamment pour le riz.
Le directeur de la recherche a déclaré qu’ils les convainquaient grâce à la démonstration. Comme il le dit, ils appliquent deux sortes d’engrais sur deux parties des champs : d’une part, ils appliquent des engrais Fomi, d’autre part, ils appliquent les engrais classiques sur les mêmes cultures, et laissons les agriculteurs eux-mêmes conclure et faire les témoignages, après avoir comparé les récoltes. Pour signifier que les engrais Fomi sont de bonne qualité, augmentent la production, restaurent le sol et protègent l’environnement. De plus, les produits FOMI sont certifiés au niveau international, a-t-il ajouté. Les étudiants ont beaucoup remercié la présentation, et ont profité de l’occasion pour offrir un cadeau au Directeur Général Adjoint pour leur hospitalité.
The FOMI Company received on Monday, March 17th 2025 a delegation of students of Higher School of Command and Headquarter, including students from countries of East African Community, who were coming to make a Study Tour at the FOMI Company.
The Deputy General Manager of FOMI MANYANGE Hermenegilde who welcomed them, on behalf of the General Director, briefly presented them the company and indicated that FOMI is actually on a satisfied level and contributes a lot to the development of the country. He then invited the head of the delegation to introduce his team.
In his presentation, the Director of Research Syldie BIZIMANA PhD, focused on FOMI society presentation the genesis, the importance of FOMI’s fertilizers, the production process and quality as well as the different types of fertilizers manufactured by the company among which FOMI Imbura, fomi Bagara, Fomi Totahaza and agricultural lime. He also mentioned the value addition of Fomi fertilizers to agricultural production enhancement, sustainable agricultural and the country development.
Further more, he indicated that the company has enough capacity to produce any types of fertilizers in accordance to the end user requirements. Some of the questions raised by the students were related to know the stategies used by the Company to convince farmers who are doubtful of the quality of FOMI products since some people are used to say that goods made in Burundi are usually not of good quality.
The Director of research indicated that after publishing the research results on of the strategies to convince them is the use of demonstration fields where the total plots is divided in two parts. In on of the two parts of field, Fomi fertilizers are applied while in the other part the classical/mineral fertilizers are applied on the same crop. At the harvest time farmers are invited in an open day event to let them appreciate, conclude and do testimonie on what they hawe seen. The testimony confirm that the Fomi fertilizers perform well even more than the mineral fertilizers when plant yield is concerned. In addition to ecological value of the fertilizer by improving soil health, restoring soil fertility and protect the environment. shortly Fomi fertilizers match the principal of sustainable agricultural on the five over six component of this concept. He did not leave out to mention that Fomi products are internationally certified and there for beneficiate a world wide acceptance. The students positively appreciate the presentation of relevance quality and seized the opportunity to give a present to the Deputy General Manager for their hospitality. Note that they finished their tour in the industry to see how these products are manufactured.
On Tuesday, March 11th, 2025, the FOMI Company received the delegation from the African Development Bank (ADB). With a warm welcome, the General Manager of FOMI Simon NTIRAMPEBA presented them the objective,the achievements and the mission of the FOMI Company since its creation.
Simon NTIRAMPEBA said that, after doing scientific research on the infertility and acidity of Burundian soil, major causes of the decrease in agricultural production, they decided to create the industry that is the “Fertilisants Organo Mineraux Industries” (FOMI), an industry able of manufacturing fertilizers that can restore soil fertility, increase agricultural production and protect the environment as well as agricultural lime which fights against the acidity of the soil.
The General Director of FOMI said that the fertilizers of the FOMI company include: Fomi IMBURA which is a base fertilizer applied to almost all crops, Fomi TOTAHAZA which is the cover fertilizer applied to cereals, Fomi BAGARA which is the cover fertilizer applied to tubers as well as agricultural lime which fights against soil acidity. He clarified the activities of the FOMI Society are internationally recognized and are already widespread in some countries of the sub-region such as Tanzania, Uganda, Angola, etc. According to him, FOMI contributes a lot to the development of the population and the country.
James Kinyangi, the Coordinator of Climate and Development Special Funds at ADB, greatly appreciates the activities of FOMI, especially since FOMI has taken into account the scientific, social and environmental aspects. He encourages FOMI to always consult with partners and research institutions that can contribute to the development of its activities.
Kampuni inayotengeneza mbolea asilia ambayo imechanganyika nayakikemikalo inchini Burundi FOMI liliitikia mualiko lililopewa na wahusika wa utawala wakishilikiana na wahusika wa kilimo,ufugaji na mazingira mkoani Gitega kwenye zoezi la kupanda miti ambayo ni rafiki kwa mashamba Alhamisi tarehe tisa janwari mwaka 2025 ,na shughuli hizo zimefanyika kwenye mulima wa GASIRWA kata ya GWINGIRI tarafani Bugendana mkoa wa Gitega
Matangazo ya habariDCIM\101MEDIA\DJI_0872.JPGDCIM\101MEDIA\DJI_0906.JPGDCIM\101MEDIA\DJI_0792.JPGDCIM\101MEDIA\DJI_0919.JPG
Huo mlima unaitwa GASIRWA,sehemu kubwa pake ni wazi,hapajapandwa miti ;ndipo wawakilishi wa Kampuni ya FOMI wakiambatana na Utawala,wahusika wa kilimo ,ufugaji na mazingira nawengineo wengi wakazi wa Gitega wamekutana na raia kwenye zoezi la kupanda mti kwenye mlima huyo wakilenga kutunza mazingira.baada ya shughuli hio,waliokuepo wameshiriki mjadara maana zoezi la namna hiyo ni vyema lifuatwe na ufuatiliaji wa karibu ili miti hiyo iweze kukua vizuri,ichangie kwa kutunza mazingira bila kusahau kuachangia kwa utunzaji ardhi.Kwenye hotuba yake,mkuu wa ofisi inayohusika na mazingira ;kilimo na mifugo Mkoani Gitega Uwikunda Oscar aliishukru Kampuni ya FOMI kwa mchango wake kwenye swala zima la kutunza mazingira ikipititia kwenye mradi wa kuzalisa bustani za miche na kupanda miti pale ambapo panaonekana kama jangwa
Na Nindemera Maria,mushauri wa gavana wa mkoa wa GITEGA ambae ana husika na uchumi na utawala, na ambae alikua amemuakilisha mkuu wa mkoa kwenye shughuli la kupanda miti kwenye mlima wa GASIRWA alilishukuru KAMPUNI ya FOMI kwenye shughuli hio ya heshima kando ya kutengeneza mbolea ambao inasaidia uzalishaji kua mkubwa na ardhi kurudisha rutuba yake ,kulinda afya ya watu na viumbe hai.Na kwa maana hiyo anaiomba FOMI kuendelea na shughuli za namna hiyo hata kwenye tarafa zingine mkoani Gitega.
Mkurugenzi wa kilimo kwenye Kampuni FOMI Kanyegeri Cassien alishukuru kwa niaba ya Mukurugenzi mkuu wa FOMI namna FOMI ilivyoalikwa kuja kuungana na wengine kwenye shughuli hiyo na namna Kampuni hiyo inavyoshilikiana vizuri na utawala hata na wahusika wa kilimo,ufugaji na mazingira mkoani Gitega ambaye ndie aliewakilisha ,aliwashukuru wote .Baada ya kuambia kile ambacho FOMI wamesha kitekeleza ili wachangie kwenye mradi wa kutunza mazingira,alitoa wito wake kwa raia wa kuitunza miti hiyo
Raia waliokuepo kwenye zoezi waliishukuru sana Kampuni ya FOMI ilioandaa na kutekeleza zoezi la namna hiyo ambalo litapelekea ardhi yao kuota na kujikinga na mitiririko ya maji .Na waliitikia kuitunza miti hiyo kama walivyoombwa.
Kwenye mradi wa FOMI wa kutunza mazigira ,wawakilishi wa FOMI wakiongozwa na mkurugenzi wa kilimo kwenye KAMPUNI ya FOMI Cassien Kanyegeri zilifika pia ;siku hiyo hiyo mkani Kayanza,tarafani Muhanga sehemu kuna shamba la miti ilipandwa miaka miwili imeisha tayari ;Cassien Kanyegeri ambae anahusika na kilimo kweye FOMI anashukuru kwa hari alioyikuta akichukulia kile ichokiahidi FOMI kwenye swala la kutunza mazingira na akachukulia na fasi hiyo kueleza faida za mradi huyo kwa mtu kwa ujumla
Raia wanashukuru mfano mzuri wa FOMI kwenye swala la kutunza mazingira. Kwa maoni yao,miradi hiyo ni vyema ikasapotiwe ili na semu zingine ziweze kunufaika kama inavyothibitishwa na mwalimu wa kilimo
Kwenye Zoezi la kutunza mazingira,Kampuni ya FOMI inauzoefu ndio maana imeshapatiwa visibitisho kwamba inaweza na kwamba inafanya vizuri si kwa ngazi ya kitaifa pekee bali na yakimataifa kile kinachoitwa ISO 14001 kama inavyofafanuliwa na MANYANGE Hermenegilde Makamu mukurugenzi mkuu wa FOMI Mutafahamu kuwa kampuni ya FOMI lilikubali kuendelea likiitia wito huo wakuendelea kuunga mkono shughuli hizo za kutunza mazingira,wakiwa na malengo ya kuenda na kaulimbiu ya inchi iliondelea mnamwo mwaka wa 2040 na inchi tajiri mwaka wa 2060
Inyuma y’ivyo bikorwa, abari ngaho baciye basangira ikiyago na kare igikorwa nk’ico gitegerezwa gukurikiranwa kugira ivyo biti bikure neza, maze biterere mu gukingira ibidukikije udasize inyuma isi ndimwa. Mw’ijambo ryiwe, Umuyobozi w’ibiro bijejwe ibidukikije, uburimyi n’ubworozi mu ntara ya Gitega Uwikunda Oscar yarashimiye ishirahame FOMI ku ntererano yaryo mu bijanye no gukingira ibidukikije biciye muri uwo mugambi wo kugwiza imivyaro y’ibiti no kubitera aho biboneka ko hari ubugararwa.
Eka na Nindemera Marie, umuhanuzi wa buramatari w’intara ya gitega ajejwe intwaro n’ubutunzi akaba ari nawe yari yaserukiye buramatari muri ivyo bikorwa vyo gutera ibiti ku musozi Gasirwa yarakengurukiye Ishirahamwe FOMI kuri ico gikorwa c’iteka irangura hambavu yo guhingura ifumbire ituma umwimbu ugwira , ikanatuma isi ndimwa igarukana akanovera , igakingira amagara y’abantu, n’ibinyabuzima. Akaba asaba FOMI kubandanya ibikorwa nk’ivyo no mu ma komine atarashikirwa y’intara ya Gitega.
Mu bikorwa vyo gukingira ibidukikije FOMI isanzwe irangura, intumwa za FOMI zirongowe n’umuyobozi ajejwe uburimyi Kanyegeri Cassien zarishikiyw mu ntara ya Kayanza kuri uwo musi nyene, muri komine Muhanga, ahari igitara c’ibiti vyatewe haraciye imyaka 2. Cassien Kanyegeri ajejwe uburimyi muri FOMI akaba ashima ingene yasanze vyifashe yisunze ivyo FOMI yiyemeje mu bijanye no gukingiwa ibidukikije, aca agirako amenyesha n’akamaro uwo mugambi ufitiye ikiremwa muntu muri rusangi.
Ako karorero keza FOMI iriko irarangura mu gukingira ibidukikije , abenegihugu baragakenguruka. Kuri bo mwenivyo bikorwa vyoshigikirwa mu ntumbero yo kubigwiza no mu bundi burere. Nk’uko vyemezwa n’umufundi w’indimo wa komine Muhanga.
DCIM\101MEDIA\DJI_0947.JPG
Ibikorwa vyo gukingira ibidukikije, ishirahamwe FOMI ribifisemwo uburambe kanatsinda imaze kubironkeramwo n’ivyemeza ko ibishoboye kandi ibikora neza ku rwego mpuzamakungu ivyo bita ISO 14001 nkuko bisigurwa na MANYANGE Herménégilde, icegera c’Umuyobozi Mukuru wa FOMI.
Mwomenyako iryo shirahamwe FOMI ryiyemeje kuzobandanya ryitabira ako kamo ko gushigikira ben’ivyo bikorwa vyo gukingira ibidukikije, muntumbero yo gushira mungiro yambono kazoza y’igihugu c’Uburundi, igihugu cifashe mumwaka wa 2040 n’igihugu giteye imbere mumwaka w’2060.
Hapa tuko inchini Burundi Roho ya Afrika mkoani Kayanza ndipo shirika la mbegu na kilmo ITRASAGRI ,shirika lenye malengo ya kuendeleza segita ya mbegu bora na kilimo hapa burundi na sehemu zingine ambapo kampuni ya mbolea za kaboni na za kikemikali zinapatikana tayari,mbolea inayosaidia ardhi kurudisha rutuba yake na muongezeko wa mazao kwa miaka mitano tayari ili tuweze kutokomeza maradhi ya utapiamlo,njaa na umasikini hivyo tutaweza kufikia maendeleo ya kudumu tukielekea kwa kaulimbiu ya inchi ;inchi ilioendelea mnamwo mwaka wa 2040 na inchi tajiri mwaka wa 2060 tukiézingatia kuwa kilimo ni msingi wa maisha na maendeleo .Ili kilimo kiweze kutufikisha kwa malengo hayo kinatakiwa kuwa cha kisasa na ardhi iwe imeandaliwa vizuri kwa kutumia kwa usahihi mbolea bora na mbegu bora na baraka za mwenyezi Mungu zikiwemwo.
ni taraf aya Muruta sehemu ambako kunafanyika utafiti kwa ongezeko la mbegu bora hususani kwenye mbegu ya viazi .Mukurugenzi wa shirika la kuzalisa mbegu bora na kilimo ITRASAGRI Dr Deo Guide Rurema akiongozana nawafanyakazi wenzake ,wafanyakazi wa kampuni inayotengeneza mbolea za kaboni na za kikemikali FOMI na wandishi wa habari alitembelea maeneo ili ashuhudie maendeleo ya kazi kwa miezi mitano toka shirika hilo limeanzishwa. Hapa anaanza akieleza kwa nini shirika hilo lilianzishwa na nini kazi zake
kuezesha ongezeko la mbegu bora sio kazi rahisi inahitaji ufuatiliaji wa kalibu kwa hatua mbalimbali na ukuaji wa mbegu hizo kama kwenye viazi unaanzia kwenye nyumba zilizowekwa kwa ajili ya utafiti na hatimaye kuzipanda kwenye shamba mpaka pale ambapo wanazigawa kwa wakulima . Mbegu zikitokezea kwenye nyumba za kuzizalisha ,zitapandwa kwenye mashamba munayoyaona . Shilika la kuzalisha mbegu bora na kilimo ITRASAGRI liko linafanya utafiti kwa kuzalisha mbegu bora pia kwenye tarafa ya Gahombo
sehemu yenye mashamba makubwa ya mahindi na viazi,unapoyaangalia mashamba haya ni yakuvutia na yako kwenye milima sehemu ambapo utafikiri kilimo hakiwezekani kulingana na muonekano wake
Mukurugenzi Dr Deo Guide Rurema hapa atatueleza utalaam walioutumia ili mashamba yawe mazuri na yakuvutia kama munavyoyaona : Mbolea ya FOMI unapoyitumia kwenye mashamba yako hauwezi kujutia iwe ni kwa mavuno au kwenye afya ya watu ;kwenye shirika la ITRASAGRI waliijaribu na hapa Mukurugenzi Dr Deo Guide Rurema anavionyesha kwenye mashamba ya majaribo ambapo walitumia mbolea ya FOMI
Kwenye utafiti unawofanywa na shirika la kuzalisha mbegu bora na kilimo ITRASAGRI hakusahau kuambatanisha mkulima,mufugaji na mazingira .kwenye mashamba ya utafiti utakuta wamepanda pia mti ambayo ni rafiki kwa mazao na kando ya mashamba wanamifugo pia
Kwa miezi mitano shirika la kuzalisha mbegu bora na kilimo ITRASAGRI likiwa limeanza,shirika rimesha ajiri zaidi ya wafanyakazi mia tatu ,limekuja pia kuunga mkono maendeleo ya inchi kwa kulip kodi na ushur
Hapa tuko ITRASAGRI kwa maana ya ITRACOM SEEDS AND AGRICULTURE ni center moja katika center za ITRACOM HOLDING ,hapa tuko Muruta sehemu tuko tunazalisha mbegu zisizozakawaida za awali kwenye zao la viazi,mbegu tunazozipata toka tasisi ya ISABU ili kama munavyofahamu tuweze kupata mbegu za kutosha ili tuendane na kaulimbiu ya Muheshimiwa Rais iwa inchi yetu nzuri Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye kila mdomo upate chakula na mfuko wa kila raia upate pesa : Raia waliitikia kaulimbiu hiyo . Hapa ni vyema raia wakapate mbegu bora na wazitumie wakiwa wameweka ile mbolea nzuri ya FOMI ili mavuno yakaongezeke ;ndio maana tukichkulia mfano mzuri wa kaulimbiu ya inchi ilioendelea mnamwo mwaka 2040 na inchi tajiri mwaka 2060. Kwenye shirika la ITRASAGRI tulifurahishwa na kaulimbiu hii na kuiitikia kwa haraka na tunabahati kuwa Muheshimiwa waziri wa kilimo,mifugo na mazingira alitoa wito kwa wawekezaji ili wavunje hofu na waweze kuwekeza kwenye hii sekta ya utafiti na hapa tuliitikia wito huo ii hivi ambavyo tunavifanya viwe kiukweli msingi wa ile kaulimbiu ya kuwa inchi tajiri,inchi yenye kujitoshereza kwa chakula ,inchi yenye raia wanaofurahia kuijenga inchi yao .Huu ndio wito tuliowuitikia na tukaja kureta mchango wetu hapa kwenye majumba ya kuzalisha mbegu bora kunafanyika utafiti kama vile unavyofanyika ISABU na tulikuja kusapoti ISABU kwa hili swala la utafiti tukiitikia wito wa Me raisi kwa wawekezaji wenye uwezo kuja kuwekeza kwenye sekta ya utafiti. Muonapo viazi vikiwa kwenye stedi hii siyo kazi rahisi ni kama vile unavyolea mtoto hadi utu wake mzima . Hivi viazi munavyoona tulivileta vikiwa na sizi ndogo ilio chini ya minyoo lakini kama mulivyoshuhudia kwanza inabidi mtu we na bidii ya ufuatiliaji,awe na uwezo awe pia na utalaam ;vinahitaji usafi wa hali ya juu ili maeneo ya uzalishaji wa mbegu tuyalinde magonjwa na tunapoambatanisha hayoyote tunakua tuko kwenye hatua nzuri
Sio kwamba tunataka kuzalisha mbegu na kuzisambaza kwa raia tu tunahitaji kua na huu utalaam wa kufanya kilimo cha kisasa,kutengeneza carves ngazi maeneo yenye mitremuko ili tuishikilie rutuba hili linalohusu kuweka kwa usahihi mbolea ya FOMI,hili linalohusu kumagilia mashamba wakati wa kiangazi na tutaweza kutumia mashini za kilimo na tunahitaji kuwa mfano na kuchkuwa mstari wa mbele ili raia waweze kuja kujifunza hivyo mavuno yaendelee kuongezeka ;jambo jigine,baada ya mavuno kuongezeka pale ambapotutakua tuko tunatumikia na yakawa mengi pia kwa raia,tunatamani kuweka utalaamu wa kuwubadili na kuwufungasha kama ilivyowito wa Muheshimiwa Raisi ili tuwetunawuuzisha na sisi tupate chakula,tupte ziada ya kuuzisha inje ili tupate fedha za kigeni
Mbolea ya FOMI,ili iwe mbolea tunayoitumia hapa ni mbolea yenye manufaa mno , moja kwa mazingila,mbolea ya FOMI ina mbolea ya kemikali ambayo imechanganywa na mbolea asilia na hapo mutaelewa kuwa wanaelekeza kutotumia sana mbolea ya kikemikali ili tuwe tunatumia mbolea ambayo hayiharibu ardhi ;pili ni kwamba hii mbolea ya FOMI inakuwa na mbolea ya samadi ambayo ndani yake kwa sababu ya hiyo wadudu ambao wako ardhini wataendelea kua na uhai na mumea pia kuweza kustawi ?Mbolea ya FOMI imeeneza hayo yote ambayo nimetoka kuyataja na utumiapo mbolea ya FOMI mimea kwa kukuwa kwake huvuta ile chumvichumvi ndio maana ile chumvichumvi inasambaa kwa zao husika iwe kwa viazi,kwa mahindi,iwe ni kwa mchele au kwa ngano . Ikiwa tumetumia mbolea za kikemikali pekee,tunapokula mazao inaweza ikasababisha magonjwa kama kansa. Kwa hivyo sasa mtaelewa ya kua mbolea ya FOMI inatunza rutuba ya ardhi,inatunza afya ya watu na kutunza pia mazingira . Ukiangalia huu mmea wa mahindi,ni mmea wa kuridhisha nawakuvutia hii inadhihirisha kwamba mmea huu ulipata chumvichumvi ya kutosha ni hio chumvchumvi ni ile mbolea ya FOMI ambayo tukotunaitumia na kingine ukiona mmea umeota kwenye sehemu ambapo ardhi inageuka kua nyeusi hii inamaanisha kua mbolea ya FOMI inachanganyika na ardhi hivyo iwezeshe ardhi kubaki bora na mimea iendelee kusitawi ; jambo jingine ni rangi ya mahindi ambalo ni la kijani hii inamaanisha kwamba tumerudi zile nyakati zazamani ambapo walikua wanakuza mahindi kwa kutumia mbolea ya samadi na wakati ule mashamba yalikua na rangi hii
kama mulivyoshuhudia hapa kwenye mashamba tunapotumikiakote kunakua na miti,hapa tunataka kua mfano mzuri wa kuambatanisha kilimo,mifugo,muliona kua sehemu ya mifereji tulipanda nyasi ya kuwalisha ng’ombe hivyo kilimo,ufugaji na mazingia vifanyike kwa pamoja ili hii ardhi ambao tulirithi toka kwa mababu zetu na sisi tupate cha kuwarithi watoto na wajukuu .
Here, it is in BURUNDI, the heart of Africa, in Kayanza province, where a company Itracom Seeds and Agriculture ITRASAGRI in acronym is carrying out its agronomic research. It is a company manufacturing, production and multiplying selected seeds in Burundi, and in the countries where the organo mineral fertilizer company FOMI established its production industries five years ago. To fight against malnutrition, famine and poverty, to achieve sustainable development moving towards the vision of an emerging country in 2040 and developed in 2060, agriculture comes first to be the foundation of this vision.
For agriculture to contribute to the achievement of this vision, it must be a modern one։ the preparation of a growing land, a good application of fertilizer of quality, selected seeds as well as the divine blessing. Here, we are in Muruta commune of Kayanza province, where agronomic research is carried out on the production and multiplication of selected potato seeds . The General Director of ITRASAGRI Deo Guide Rurema Ph D, with his collaborators, these of the FOMI Company and journalists made a visit to the ground to see the progress after five months of the birth of the company. He tells us the merits of the birth of the society and its missions.
Seed propagation is not an easy thing. It requires regular monitoring, step by step, of the development of its seeds. For example, with potatoes, the work begins in GREEN HOUSES, continues in the seed fields, until distributing to farmers.
The potatoes seeds produced there in green houses are planted in these fields that you see. The ITRASAGRI company is also carrying out its seed multiplication research in the Gahombo Commune of KAYANZA Province on the cultivation of corn and potatoes. These are good fields, well laid out, well maintained, on sloping soil on which agriculture seems not to be possible, but the General Director of ITRASAGRI tells us about the techniques that they used to have such good fields .
The use of organo mineral fertilizers from the FOMI Company is a good choice, whether on plants or on the hearth. At ITRASAGRI Company they tried it and they succeeded, Dr Deo Guide Rurema testifies.
In its research, ITRASAGRI has not forgotten to associate agriculture with livestock breeding and the environment. In these fields, we find agro forest trees on the one hand and livestock farming on the other hand. Just five months after its birth, ITRASAGRI has hired more than 300employees and comes to contribute to the country’s economy through the payment of taxes
ITRASAGRI-BURUNDI-KAYANZAChamp de pomme de terre ITRASAGRIELes engrais de la société FOMI permettent de produire plus tout en préservant/restaurant la qualité des sols au bénéfice des générations futuresLes engrais de la société FOMI permettent de produire plus tout en préservant/restaurant la qualité des sols au bénéfice des générations futures
C’est au Burundi, au cœur de l’Afrique, en province Kayanza, où une société Itracom seed and Agriculture ITRASAGRI en sigle est en train de faire des recherches agronomiques. C’est une société pour la promotion du secteur de multiplication des semences sélectionnées et production agricole au Burundi et dans les pays où la société fertilisants organo minéraux industries FOMI a installé ses usines de fabrication des engrais organo-minéraux.
Pour lutter contre la malnutrition, la famine et la pauvreté, pour arriver à la vision d’un pays émergent en 2040 et un pays développé en 2060, l’agriculture vient en premier lieu pour être le pilier de cette vision.
Afin que l’agriculture contribue à l’aboutissement de cette vision, elle doit être une agriculture moderne : l’aménagement du terrain cultivable, une bonne application des Fertilisants de qualité, des semences sélectionnées ainsi que la bénédiction de Dieu.
Nous sommes en commune Muruta de la province Kayanza où se font les recherches agronomiques de production et multiplication des semences sélectionnées des pommes de terre.
Le Directeur Général de l’ITRASAGRI Dr Déo Guide RUREMA, en compagnie de de ses collaborateurs, ceux de la société FOMI et les journalistes a effectué une descente sur terrain pour constater l’état d’avancement, après les cinq mois seulement de la naissance de la société ITRASAGRI.
Il nous dit d’abord le bienfondé de la naissance de la société et ses missions.
La multiplication des semences sélectionnées n’est pas une chose facile. C’est tout un processus. un suivi régulier dès la production, par exemple chez les pommes de terre, le travail commence dans les maisons appropriées appelées SERRES, continue dans les champs de semences, jusqu’à la distribution aux agriculteurs.
Les semences de pommes de terre produits et multipliées là-bas dans les SERRES sont plantées ici dans ces champs que vous voyez.
La société ITRASAGRI est en train de faire aussi ses recherches de multiplication des semences dans la commune Gahombo de la province Kayanza sur les cultures de pommes de terre et de maïs. Ce sont de baux champs, bien aménagés, bien entretenus, sur des sols à pentes on dirait que l’agriculture n’est pas possible, mais le Directeur Général de l’ITRASAGRI nous parle des techniques qu’on a utilisé pour avoir de tels baux champs.
L’utilisation des fertilisants organo-minéraux de la société FOMI est un bon choix, que ça soit sur les plantes ou sur la santé. A l’ITRASAGRI on l’a essayé et on a réussi. Dr Déo Guide RUREMA le témoigne.
Dans ses recherches, l’ITRASAGRI n’a pas oublié d’associer l’agriculture à l’élevage et l’environnement. Dans ces champs, on y trouve des arbres agro-forestiers d’une part et l’élevage de l’autre part.
Cinq mois seulement après sa naissance, l’ITRASAGRI a embauché plus de 300 employés et vient pour contribuer à l’économie du pays à travers le payement des taxes.