Gari kubwa kubwa zinaendelea kufikisha malighafi zinazohitajika kwa kutengenezea mchanganyiko wa mbolea asili na za madini kwenye kiwanda cha FOMI Bujumbura.

Wafanyakazi walikua wakipakua vifaa hivyo na kuviweka kwenye store huku magari mengine mengi akiwa amepaki akisubiri kupakuliwa.Tuwakumbushe kwamba FOMI Imbura ni mbolea inayotumiwa na wakulima kwa kupanda mazao kama yote.