dustra
  • Nyumbani
  • Kuhusu Sisi
  • Bidhaa Zetu
    • FOMI-IMBURA
    • FOMI-TOTAHAZA
    • FOMI-BAGARA
    • CHAUX AGRICOLE
  • Timu
  • Habari
  • Wasiliana Nasi
  • Lugha
    • ENG
    • FRA
    • KIR

Wizara ya kilimo,ufugaji na mazingira inatia moyo wakulima kuhusu ukosefu wa mbolea#FOMI - FOMI-Sw

  • Home
  • Wizara ya kilimo,ufugaji na mazingira inatia moyo wakulima kuhusu ukosefu wa mbolea#FOMI
  • Disemba 4, 2025
  • FOMI

Kwenye warsha ilioabdaliwa na MAC leo alhamisi kwenye Hoteli ya source du Nil jijini Bujumbura ili watasmini shughuli ambazo wamezifanya toka mwaka wa 2022 hadi 2025,walioshika na fasi kuchangia wote wameshukuru mafundisho waliopewa na wafanyakazi wa FOMI kuhusu namna ya kurutubisha ardhi kwa kutumia mbolea za FOMI.
Mwenyekiti #MAC NDUWIMANA Aimé Pascal alijurisha kwamba katika miaka hiyo ndipo walikaribia viongozi wa FOMI ili wasaidie wanachama wa MAC kwa kuwapatia mafunzo yanyohusu kufanya kilimo cha kisasa wakitumia mbolea za FOMI.Alitoa mifano ya ziara zilizofanyika kwenye mikoa mbalimbali ambapo wafanyakazi wa FOMI walikua wakikuta wakulima kwenye shughuli mashambani mwao na kuwafundisha.Toka viongozi wa madhebu wanachama wa MAC wameanza kutekeleza kile walichofundishwa na wafanyakazi wa FOMI,uzalishaji kwenye segita ya kilimo uliongezeka kwenye mashamba yao.Waliochukua na fasi wakachangia katika viongozi wa dini,wameshukuru kuona kwamba mbolea ya FOMI ilisababisha ongezeko la uzalishaji,kupunguza tindikali ardhini kwa kutumia chokaa ya kilimo ambayo inatengenezwa na kiwanda cha FOMI.
Katika badhi ya maswali walioyauliza,waliomba kupata mbolea kwa wakati kwa sababu inapokawia inapelekea uzalishaji kupungua.Makamu Mkurugenzi mkuu wa FOMI Ir Herménégilde MANYANGE alijurisha kwamba FOMI na MAC wataendelea kushilikiana ili shughuli ziendelee kupiga hatua mbele.Kwa upande wa wizara ya kilimo,ufugaji na mazingira,naibu waziri ambae alimuwakilsha waziri kwenye warsha hio bwana Butoyi Leonard alifahamisha kuwa ucheleweshaji wa mbolea hutokea kwenye idadi kubwa ambayo huongezeka mwaka baada ya mwingine ya wanayoyihitaji.Amewatia moyo akisema kuwa FOMI imesha jenga kiwanda kingine ili waweze kutengeneza kiasi cha mbolea ambacho ni kikubwa ukilinganisha na mahitaji ya wakulima na pia kuweza kupa ya kuuza inje

Timu ya Burundi Black Eagle ilikabiliana na ASAS Djibouti Télécom kutoka Djibouti.
MBOLEA YA FOMI IMEDHIRISHA KUWA NA UWEZO WA KURUDISHA RUTUBA ARDHI KWENYE SEHEMU NYINGI

Leave a comment

Cancel reply

Recent Posts

  • Mkutano na waandishi wa habari wa kampuni ya Fomi kuhusu uzalishaji na usambazaji wa mbolea tarehe 31/12/2025.
  • MBOLEA YA FOMI IMEDHIRISHA KUWA NA UWEZO WA KURUDISHA RUTUBA ARDHI KWENYE SEHEMU NYINGI
  • Wizara ya kilimo,ufugaji na mazingira inatia moyo wakulima kuhusu ukosefu wa mbolea#FOMI
  • Timu ya Burundi Black Eagle ilikabiliana na ASAS Djibouti Télécom kutoka Djibouti.
  • Mawaziri watatu (3) wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) walitembelea kampuni ya FOMI.

Recent Comments

Hamna maoni ya kuonyesha.

Category

  • Uncategorized (6)

Wasiliana Nasi

  • Route de l'Aéroport(RN5)-Zone Mutimbuzi
  • info@fomi.bi

Bidhaa Zetu

  • FOMI-IMBURA
  • FOMI-TOTAHAZA
  • FOMI-BAGARA
  • CHAUX AGRICOLE

Saa za ufunguzi

  • Jumatatu :
    8.00 - 17.00
  • Jumanne :
    8.00- 17.00
  • Jumatano :
    8.00 - 17.00
  • Alhamisi - Ijumaa :
    8.00 - 17.00
  • Jumamosi :
    8.00 - 13.00
  • Jumapili :
    Imefungwa

© 2025 FOMI- Designed by Manix MUGISHA.

dustra