dustra
  • Nyumbani
  • Kuhusu Sisi
  • Bidhaa Zetu
    • FOMI-IMBURA
    • FOMI-TOTAHAZA
    • FOMI-BAGARA
    • CHAUX AGRICOLE
  • Timu
  • Habari
  • Wasiliana Nasi
  • Lugha
    • ENG
    • FRA
    • KIR

MBOLEA YA FOMI IMEDHIRISHA KUWA NA UWEZO WA KURUDISHA RUTUBA ARDHI KWENYE SEHEMU NYINGI - FOMI-Sw

  • Home
  • MBOLEA YA FOMI IMEDHIRISHA KUWA NA UWEZO WA KURUDISHA RUTUBA ARDHI KWENYE SEHEMU NYINGI
  • Disemba 23, 2025
  • FOMI

https://www.facebook.com/photo/?fbid=1187039126937375&set=pcb.1187039210270700&cft[0]=AZamBBiErr5ZQSfYeyVFUSdy7fuBhc8NxnOwisN9ym0Kn9fieIl5XqS4xs3roG-Vfa3ljX3X_k34X6h05P0LqlCEVIJpBvmPRKb6DWI94aaU5elN1qLABPceLAddq2-qAHRAFTunF9CiWJ8hBMt0ObepqOniljBbfg6vMDY3tayZ1rwQtQxc8nPQselaHXkM7rI&tn=*b0H-R

Ardhi yetu ilipoteza rutuba na ikapelekea kupoteza uwezo wake wa kuzalisha.Kupoteza rutuba kulisababishwa na kutohifadhi mazingira vizuri,kutotengeneza mistari ya kudhibiti maji kwenye sehemu ya mitiririko na kukata miti.Wakiwa na lengo la kutaka kuongeza uzalishaji,wakulima walitumia mbolea ya kizungu: DAP,MOP na Urea.Kuvuna walikua wakivuna lakini mbolea hiyo ilisababisha ardhi kupoteza rutuba.Katika Kongamano la kimataifa kuhusu mazingira,mataifa yalitoa azimio ya kupunguza utumiaji wa mbolea za kikemikali.Watalamu kwenye maswala la utumiaji mbolea walikuta kwamba mbolea nzuri ni mbolea inayochanganya samadi na madini.Mwaka wa 2019 ndipo inchini Burundi kulianzishwa kiwanda FOMI ambacho kinatengeneza mbolea asilia inayochanganywa na madini.Toka wakati huo hadi leo wakulima ambao walitumia mbolea hiyo walishajionea jinsi ilivyoweza kurudhisha rutuba ardhi zilizokua zimeipoteza.Wakulima wa mikoa ya Butanyerera na Gitega ambao tuliwatembelea walitoa ushuhuda wao kwamba mbolea inasaidia kuongeza uzalishaji kwa kiasi kikubwa.Wanaeleza pia kuwa ardhi inapata virutubisho ambavyo ilikuwa haipati kutokea ile mbolea ya zamani.Mkuu wa idara ya mazingira,kilimo na ufugaji kwenye mkoa wa Gitega anafafanua kwamba aina mbalimbali ya nyasi zilizokuwa zimetoweka zimeweza kujitokeza tena akibaini kwamba hali hiyo ni baada ya kuwa wametumia mbolea ya FOMI.Kwa niaba yake,FOMI ni nzuri kwa sababu ina kinyesi cha ng’ombe ndani yake na ina virutubisho vingi ukilinganisha na ile ya zamani

Wizara ya kilimo,ufugaji na mazingira inatia moyo wakulima kuhusu ukosefu wa mbolea#FOMI
Mkutano na waandishi wa habari wa kampuni ya Fomi kuhusu uzalishaji na usambazaji wa mbolea tarehe 31/12/2025.

Leave a comment

Cancel reply

Recent Posts

  • Mkutano na waandishi wa habari wa kampuni ya Fomi kuhusu uzalishaji na usambazaji wa mbolea tarehe 31/12/2025.
  • MBOLEA YA FOMI IMEDHIRISHA KUWA NA UWEZO WA KURUDISHA RUTUBA ARDHI KWENYE SEHEMU NYINGI
  • Wizara ya kilimo,ufugaji na mazingira inatia moyo wakulima kuhusu ukosefu wa mbolea#FOMI
  • Timu ya Burundi Black Eagle ilikabiliana na ASAS Djibouti Télécom kutoka Djibouti.
  • Mawaziri watatu (3) wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) walitembelea kampuni ya FOMI.

Recent Comments

Hamna maoni ya kuonyesha.

Category

  • Uncategorized (6)

Wasiliana Nasi

  • Route de l'Aéroport(RN5)-Zone Mutimbuzi
  • info@fomi.bi

Bidhaa Zetu

  • FOMI-IMBURA
  • FOMI-TOTAHAZA
  • FOMI-BAGARA
  • CHAUX AGRICOLE

Saa za ufunguzi

  • Jumatatu :
    8.00 - 17.00
  • Jumanne :
    8.00- 17.00
  • Jumatano :
    8.00 - 17.00
  • Alhamisi - Ijumaa :
    8.00 - 17.00
  • Jumamosi :
    8.00 - 13.00
  • Jumapili :
    Imefungwa

© 2025 FOMI- Designed by Manix MUGISHA.

dustra