Fomi-Totahaza ni mbolea ya asili na madini yenye uzii wa nitrojeni. Imeundwa na kuzalishwa kwa ajili ya nafaka na mboga. Yenye virutubisho vifuatavyo: Nitrojeni 21%, Potasiamu 8%, Kalsiamu 4% na Magnesiamu 2%.

Fomi-Totahaza pia ni mbolea ya nyongeza kwa FOMI-IMBURA. Inatumika wakati wa kupanda na kufagia udongo (sarclage).