FOMI-BAGARA ni mbolea ya asili na madini yenye uzii wa potassium. Imeundwa na kuzalishwa kwa ajili ya mazao ya mzizi. Yenye virutubisho vifuatavyo: Nitrojeni 11%, Potasiamu 22%, Kalsiamu 4% na Magnesiamu 2%.

Aidha, FOMI-BAGARA ni mbolea ya nyongeza kwa FOMI-IMBURA. Inatumika wakati wa kupanda na kufagia udongo (sarclage).