BUNGABUNGA ISI, GWIZA UMWIMBU N'IFUMBIRE FOMI

FOMI INAUNGA MKONO PIA WATAFITI KUTOKA INCHI ZINGINE

https://youtu.be/neBEQ8dke98

Kiwanda kinachotengeneza mbolea ya asilia ambayo imechanganyika na ya madini FOMI, kwa mda ambao kimemaliza kikitengeneza mbolea yenye ubora wa kipekee, inayowezesha uzalishaji kuwa mkubwa na kurudisha rutuba ya ardhi, kinasaidia pia watafiti wenye lengo la kuendeleza au kuboresha ujuzi wao.  Kwa sasa,kiwanda hicho kiko kwenye hatua ya kupokea watafiti wanaotokea inchi zingine. Hiyo ni ishara nzuri inayothibitisha uhusiano mzuri kati ya Burundi na inchi za kigeni.

Pauline WAMBUI MIGAI ni mtafiti kutokea Kenya, ni mwalimu kwenye chuo kikuu cha Masinde Muliro University of science and Technology, alikuja kufanya utafiti hapa kiwandani FOMI, anatueleza kuhusu utafiti alioufanya na kwa nini alifanya utafiti huo.

Pauline : Nilikuja kufanya utafiti kuhusu mbolea mbolea asilia tukitumia takataka, mbolea ambayo inaweza ikusaidia wakulima wadogowadogo.Nilikua hapa FOMI nikiboresha ujuzi kuhusu utengenezwaji wa mbolea asilia na kutafuta kuzijua changamoto wanazokutana nazo katika kutengeneza mbolea hizo.Nilijifunza pia kuhusu ubora wa mbora hio na kuhusu virutubisho tunavyokuta kwenye mbolea hiyo.

Pauline MUIGAI anasema kwamba kilichopelekea akachagua kufanyia utafiti wake katika kiwanda cha FOMI ni kwa sababu kina vifaa vya kisasa na vyenye uwezo mkubwa na watalaamu wzenye uwezo.

Kilichopelekea nikachagua kufanyia utafiti wangu hapa FOMI, FOMI inawataalamu walionisaidia kwenye shughuli zangu za utafiti; ina mabara ya kisasa yenye vifaa tosha ili mtu aweze kuchunguza kama mbolea inavigezo tosha au hafifu kwenye mmea. Vilinisaidia sana.

Mtafiti huu anaeleza pia kile ambacho utafiti alioufanya FOMI unaenda kumsaidia

Kama mtu mwenye mradi wa kuangalia kama ardhi inaweza kurudisha rutuba yake, kujifunza na kuwez akupata maarifa ya kutengeneza mbolea, ninaimani nitaweza kuyatumia kwenye inchi yangu ili takataka hilo tuweze kunufaika nalo kwa kulitengenezea mbolea. Kwa upande mwingine kama mwalimu,nitaweza kufundisha watu namna ya kunufaika kwa kupata mbolea ukitumia takataka ambayo unakuta imezagaa hapa na pale.

Gustave nkurunziza ni mhusika wa kitengo cha kuunda vipyaa kwenye shirika la FOMI na ndie aliesaidia huo mtafiti kwenye utafiti wake, anaeleza kwa kifupi jinsi shirika la FOMI lilivyosaidia mtafiti na ni nini faida kwa FOMI kuwapokea watafiti.

Alikuja kupitia mradi unaotekelezwa kati ya inchi za Burundi, DRC na Kenya amnbao unaungwa mkono na shirika la Bio innovate Afrika kwenye kitengo chake cha kuendeleza utafiti unaofanwa na wanawake kwa hapa kanda ya Afrika mashariki. Ni mradi ambao unalenga kutengeneza mbolea ya aina ya kikaboni, mbolea ya Biofertilizer inayopatikana kwa kutumia wadudu( bacteria) wanaosababisha kuingiliana kati ya mmea na ardhi ambapo wadudu hao wanapatia mmea Nitrojeni na mmea kuoa kaboni kile tunachokiita Isobiamu na hatimae tunachanganya na kivu ya ardhini vijulikanavyo kama mikolysis ili mmea uweze kustahimili vizuri ni kwa maana hiyo alikuja kushilikiana na FOMI kwenye utafiti wake. Utafiti anaoendesha akiungwa mkono na kitengo chetu unaenda sambamba na kile kinachofanyika hapa hapa FOMI kwa kua FOMI inatengeneza mbolea asilia ambayo imechanganywa na ya kimadini ambayoinaitwa ” Organo Mineral” hivyo tunahitaji sana mbolea asilia ikiwa ni ile itokayo kwa mifugo au ile inayotoka kwenye takataka ambayo haina hitirafu; kwa hiyo Biofertilizer ambayo tuko tunajaribu kutengeneza kwa hapa Afrika  Mashariki inatengenezwa kwa kuunda vizuri takataka kama alivyoeleza mwenyewe kwa hiyo vinaambatana sana na kitengo ninachokisimamia na kile tunachokifanya FOMI kwa sababu itakuja kusaidia kwa hiyo mbolea asilia ambayo inahitajika sana kwa hapa na kuleta manufaa kwa maana katika shughuli zetu kuna pia kuunda vipya ikiwemwo na hayo mahitaji ya kila siku yanayotuwezesha kutengeneza mbolea ya FOMI, kwa hiyo mchango wake kwa hapa utafiti ni kwamba tutapata kitu kingine ambacho kitaweza kusaidia na chenye ubora

Paulina : Ujumbe kwa viongozi wa FOMI nawashukuru sana kwa kua waliruhusu watu wenye nia ya kujifunza na wale wanaoendesha utafiti kuhusu namna ya kutengeneza mbolea,nawashukuru watu wote waliounga mkono utafiti wangu. Ninawaomba FOMI waendelee kuwapokea na watafiti ambao watakuja nyuma yangu ikiwa niwahapa inchini hata na wale wakutokea mataifa mengine kama walivyonifanyia mimi.

Gustave Nkurunziza anajurisha kuwa kwenye kitengo anachokiongoza utafiti ni jambo endelevu, anaomba huyo mtafiti Paulina MUIGA kutumia vizuri alichojifunza hapa FOMI na kama itampendeza kurudi ili aendelee kuingia ndani zaidi na kuweza kufanikiwa kwenye mradi wake ili na utafiti kwenye FOMI uendelee kupiga hatua kwenda mbele

Ninachoweza kumshahuri na nilishamshahuri tayari ni kuendelae kuwa na bidii kwa kuendelea na shughuli zake kama alivyokuwa akifanya kwa miezi mitatu ambayo tumekaa nae na kuendelea kushilikiana na team ya hapa FOMI na team ambayo wako nayo ili tuendelee kuendeleza tekenolojia hiyo.Nilimshahuri pia kwamba itapendeza tukiweka kwa pamoja tekenolojia walionayo hapa na tekenolojia walionayo Kenya kwa sababu sote tuna nia ya kuendeleza kilimo kwa mkulima wa kanda hii ili apate chakula tosha bila kuchoka. Ushahuri nimempa ni kuweka kwa pamoja tekenolojia tunabahati hicho ni kitu anchokielewa na yeye ili tuendeleze Afrika mashariki na kanda nzima na hilo ni wazo la mashirika yetu ya ITRACOM Fertilizers ya kupanua maeneo ni vyema pia tukapanue na utafiti na tekenolojia tuvichangie sote

FOMI INAUNGA MKONO PIA WATAFITI KUTOKA INCHI ZINGINE

Kiwanda kinachotengeneza mbolea ya asilia ambayo imechanganyika na ya madini FOMI, kwa mda ambao kimemaliza kikitengeneza mbolea yenye ubora wa kipekee, inayowezesha uzalishaji kuwa mkubwa na kurudisha rutuba ya ardhi, kinasaidia pia watafiti wenye lengo la kuendeleza au kuboresha ujuzi wao.  Kwa sasa,kiwanda hicho kiko kwenye hatua ya kupokea watafiti wanaotokea inchi zingine. Hiyo ni ishara nzuri inayothibitisha uhusiano mzuri kati ya Burundi na inchi za kigeni.

FOMI INAUNGA MKONO PIA WATAFITI KUTOKA INCHI ZINGINE

https://youtu.be/neBEQ8dke98

Kiwanda kinachotengeneza mbolea ya asilia ambayo imechanganyika na ya madini FOMI, kwa mda ambao kimemaliza kikitengeneza mbolea yenye ubora wa kipekee, inayowezesha uzalishaji kuwa mkubwa na kurudisha rutuba ya ardhi,kinasaidia pia watafiti wenye lengo la kuendeleza au kuboresha ujuzi wao.  Kwa sasa,kiwanda hicho kiko kwenye hatua ya kupokea watafiti wanaotokea inchi zingine. Hiyo ni ishara nzuri inayothibitisha uhusiano mzuri kati ya Burundi na inchi za kigeni.

Pauline WAMBUI MIGAI ni mtafiti kutokea Kenya, ni mwalimu kwenye chuo kikuu cha Masinde Muliro University of science and Technology, alikuja kufanya utafiti hapa kiwandani FOMI, anatueleza kuhusu utafiti alioufanya na kwa nini alifanya utafiti huo.

Pauline : Nilikuja kufanya utafiti kuhusu mbolea mbolea asilia tukitumia takataka, mbolea ambayo inaweza ikusaidia wakulima wadogowadogo.Nilikua hapa FOMI nikiboresha ujuzi kuhusu utengenezwaji wa mbolea asilia na kutafuta kuzijua changamoto wanazokutana nazo katika kutengeneza mbolea hizo.Nilijifunza pia kuhusu ubora wa mbora hio na kuhusu virutubisho tunavyokuta kwenye mbolea hiyo.

Pauline MUIGAI anasema kwamba kilichopelekea akachagua kufanyia utafiti wake katika kiwanda cha FOMI ni kwa sababu kina vifaa vya kisasa na vyenye uwezo mkubwa na watalaamu wzenye uwezo.

Kilichopelekea nikachagua kufanyia utafiti wangu hapa FOMI, FOMI inawataalamu walionisaidia kwenye shughuli zangu za utafiti; ina mabara ya kisasa yenye vifaa tosha ili mtu aweze kuchunguza kama mbolea inavigezo tosha au hafifu kwenye mmea. Vilinisaidia sana.

Mtafiti huu anaeleza pia kile ambacho utafiti alioufanya FOMI unaenda kumsaidia

Kama mtu mwenye mradi wa kuangalia kama ardhi inaweza kurudisha rutuba yake, kujifunza na kuwez akupata maarifa ya kutengeneza mbolea, ninaimani nitaweza kuyatumia kwenye inchi yangu ili takataka hilo tuweze kunufaika nalo kwa kulitengenezea mbolea. Kwa upande mwingine kama mwalimu,nitaweza kufundisha watu namna ya kunufaika kwa kupata mbolea ukitumia takataka ambayo unakuta imezagaa hapa na pale.

Gustave nkurunziza ni mhusika wa kitengo cha kuunda vipyaa kwenye shirika la FOMI na ndie aliesaidia huo mtafiti kwenye utafiti wake, anaeleza kwa kifupi jinsi shirika la FOMI lilivyosaidia mtafiti na ni nini faida kwa FOMI kuwapokea watafiti.

Alikuja kupitia mradi unaotekelezwa kati ya inchi za Burundi, DRC na Kenya amnbao unaungwa mkono na shirika la Bio innovate Afrika kwenye kitengo chake cha kuendeleza utafiti unaofanwa na wanawake kwa hapa kanda ya Afrika mashariki. Ni mradi ambao unalenga kutengeneza mbolea ya aina ya kikaboni, mbolea ya Biofertilizer inayopatikana kwa kutumia wadudu( bacteria) wanaosababisha kuingiliana kati ya mmea na ardhi ambapo wadudu hao wanapatia mmea Nitrojeni na mmea kuoa kaboni kile tunachokiita Isobiamu na hatimae tunachanganya na kivu ya ardhini vijulikanavyo kama mikolysis ili mmea uweze kustahimili vizuri ni kwa maana hiyo alikuja kushilikiana na FOMI kwenye utafiti wake. Utafiti anaoendesha akiungwa mkono na kitengo chetu unaenda sambamba na kile kinachofanyika hapa hapa FOMI kwa kua FOMI inatengeneza mbolea asilia ambayo imechanganywa na ya kimadini ambayoinaitwa ” Organo Mineral” hivyo tunahitaji sana mbolea asilia ikiwa ni ile itokayo kwa mifugo au ile inayotoka kwenye takataka ambayo haina hitirafu; kwa hiyo Biofertilizer ambayo tuko tunajaribu kutengeneza kwa hapa Afrika  Mashariki inatengenezwa kwa kuunda vizuri takataka kama alivyoeleza mwenyewe kwa hiyo vinaambatana sana na kitengo ninachokisimamia na kile tunachokifanya FOMI kwa sababu itakuja kusaidia kwa hiyo mbolea asilia ambayo inahitajika sana kwa hapa na kuleta manufaa kwa maana katika shughuli zetu kuna pia kuunda vipya ikiwemwo na hayo mahitaji ya kila siku yanayotuwezesha kutengeneza mbolea ya FOMI, kwa hiyo mchango wake kwa hapa utafiti ni kwamba tutapata kitu kingine ambacho kitaweza kusaidia na chenye ubora

Paulina : Ujumbe kwa viongozi wa FOMI nawashukuru sana kwa kua waliruhusu watu wenye nia ya kujifunza na wale wanaoendesha utafiti kuhusu namna ya kutengeneza mbolea,nawashukuru watu wote waliounga mkono utafiti wangu. Ninawaomba FOMI waendelee kuwapokea na watafiti ambao watakuja nyuma yangu ikiwa niwahapa inchini hata na wale wakutokea mataifa mengine kama walivyonifanyia mimi.

Gustave Nkurunziza anajurisha kuwa kwenye kitengo anachokiongoza utafiti ni jambo endelevu, anaomba huyo mtafiti Paulina MUIGA kutumia vizuri alichojifunza hapa FOMI na kama itampendeza kurudi ili aendelee kuingia ndani zaidi na kuweza kufanikiwa kwenye mradi wake ili na utafiti kwenye FOMI uendelee kupiga hatua kwenda mbele

Visit of the Zimbabwean Delegation to the FOMI company

This thursday 6th 2025, the FOMI Company received visitors from Zimbabwe. In his welcome remarks,the the General Manager deputy of FOMI Ir Manyange Helmenegilde made a presentation of FOMI afterwhat he invited them to follow the whole presentation of the FOMI Company throught the a documentary. He then took them to make a tour in the factory to see how fertilizers are manufactured.

The head of delegation Chipo CHIVURAISE said that the objective of the visit  in the Itracom fertilizers FOMI, is fisrt of all to respond to the invitation they have been given by the ITACOM HOLDING, and as operators in agricultural sector, they came to explore what is happening in Itracom fertilizers FOMI, since in Zimbabwe they are challenging some agricultural difficulties based on unsuffiscient fertilizers and agricultural production.

She also said that they are impressed by the way the Itracom fertilizers FOMI operates to produce fertilizers ,the process of manufacturing Organo mineral fertilizers boosts the farmers’ life because the later find easily where to deliver the cow dung taken as the row materials in manufacturing fertilizers.

She sade that creating partership between Itracom fertilizers and the gouvernment of Zimbabwe should be a welcome development in Zimbabwe, because once Itracom fertilizers operates in Zimbabwe, farmers could benefit more employments, and the soil of Zimbabwe will undergo some positive changes in order to be more and more productive.

Note that they ended their visit by taking a family clip and signing in the guest book.

========================================================================================================================================

Alhamisi tarehe 6 Agosti,2025 Kiwanda kinachotengeneza mbolea asilia ambayo imechanganyika na ya kikemikali FOMI kilipokea ugeni kutoka Zimbabwe. Kwenye neno lake la ukaribisho Makamu Mkurugenzi wa FOMI Ir Helménégilde Manyange aliwatamburisha kwa kifupi kiwanda na hatimaye akawalika kufuata dokimentari inayowawezesha kupata picha harisi ya kiwanda.Baada ya kuangalia dokimentari,Makamu Mkurugenzi wa FOMI Ir Helménégilde Manyange aliwaongoza kwenda kutembelea kiwanda ili wajionee namna mbolea zinavyotengenezwa.

Kiongozi wa ugeni huo ambaye ni afsa mkuu anayehusika na uchumi kwenye maswala ya kilimo Chipo CHIVURAISE alisema kuwa maleno ya wao kuja kutembelea kiwanda cha FOMI kwanza ni kujibu mualiko waliopewa na ITRACOM HOLDING na kama watumishi kwenye segita ya kilimo wamekuja ili washudie kinachofanywa na FOMI haswa kwa sababu Zimbabwe inapitia changamoto ya uzalishaji wa kilimo na mbolea ambavyo havitoshi. Ametaja kuguswa pia na namna kiwanda kinavyotengeneza mbolea ambao inasaidia wakulima kubadili maisha kupitia uzalishaji wa kilimo . Kwa mujibu wake kuweka uhusiano bain aya ITRACOM FOMI na serikali ya Zimbabwe inaweza ikachochea mabadiliko mazuri na kuweza kufanikisha ongezeko la uzalishaji wa kilimo

Kwa kuhitimu ziara Mkuu wa msafara alitia sahihi yake kwenye kitabu cha heshima na hatimaye wakapata picha kwa pamoja

========================================================================================================================================

Ce mercredi 6 Août 2025, la société FOMI a reçu des visiteurs venant du Zimbabwe. Dans son mot d’accueil, le Directeur Général Adjoint de la FOMI Ir MANYAGE Herménégilde leur a brièvement présenté la FOMI, avant de les inviter à suivre un documentaire qui décrit la société FOMI. Il leur a ensuite conduit visiter l’usine pour voir comment les engrais sont fabriqués.

Le chef de la délégation Madame CHIPO Chivuraise a dit que l’objectif de la visite était d’abord de répondre à l’invitation qui leur a été donnée par l’ITRACOM HOLDING, et comme des opérateurs qui œuvrent dans le secteur agricole au Zimbabwe, ils sont venus pour explorer l’usine de fabrication des Fertilisants Organo- Minéraux, d’autant plus qu’au Zimbabwe ils rencontrent beaucoup de difficultés liées à l’insuffisance des intrants agricoles et la production agricole.

Elle a dit aussi qu’ils ont été impressionnés par la façon dont les engrais sont fabriqués. La fabrication des engrais organo minéraux donne le profit aux éleveurs de vaches car ils trouvent un marché d’écoulement de la bouse utilisée comme matière première dans la fabrication des engrais organo minéraux.

Elle a dit également que, créer un partenariat entre la Société FOMI et le gouvernement zimbabwéen pourrait être quelque chose de très important au Zimbabwe car les agriculteurs pourraient y tirer beaucoup d’opportunités d’emplois et le sol zimbabwéen subirait des transformations positives en matière de restauration de sa fertilité pour devenir de plus en plus productif.

Ils ont terminé leur visite en prenant une photo de famille et en signant dans le livre d’or.

========================================================================================================================================

Kuwa gatatu w’igenekerezo rya 6 myandagaro 2025 ishirahamwe FOMI ryarakiriye abashitsi bakomoka mu gihugu ca Zimbabwe. Mw ijambo ryo kubakira icegera c’umuyobozi mukuru w’uruganda FOMI Ir Manyange Helménégide yabashikirije muncamake ubuzima bw’uruganda imbere y’ukubasa gukwirikirana ireresi rindondora uruganda hamwe n’abashitsi bakuru bakuru bamaze kugendera uruganda. Bahejeje kuraba iyo reresi, icegera c’umuyobozi mukuru yabajanye kwirabira uko uruganda rukora.

Umupfasoni CHIPO Chivuraise yararongoye abo bashitsi yamenyesheje ko intumbero y’ugo rugendo kwari ukwitaba ubutumire bahawe na ITRACOM HOLDING hama kandi nk abasanzwe bakorera mugisata c’uburimyi baje kugira bihweze uko ifumbire y’ikirundi ivanze n’iyikizungu FOMI ihingurwa na cane cane ko muri zimbabwe basanzwe bafita ingorane zifatiye kukubura ifumbire hamwe n’umwimbu udashemeye muvy’uburimyi.

Yammenyesheje ko banezerewe bakongera bagatangarira ukungene basanze ifumbire FOMI ihingirwa.  Basanze hambavu yo gufasha abarimyi kugwiza umwimbu iyo fumbire iragarukana akanovera k’isi ndimwa,aborozi baraheza bakaharonkera isoko ry’amase vyoroshe nanarirya bimwe muvyankenerwa muguhingura ifumbire y ikirundi ivanze n’iyikizungu FOMI amase ni kimwe muvyankenerwa.

Kubw’uyo mupfasoni yararongoye abo bashitsi gushiraho ugukorana hagati y’ishirahamwe FOMI na Leta ya Zimbabwe vyoba ngirakamaro bikazana n akarusho mw’iterambere ry’igihugu ca Zimbabwe biciye mukugwiza umwimbu no gusubiza akanovera isi.

Barangije ugo rugendo umupfasoni y’ararongoye abo bashitsi yateye umukono mu gitabu c’iteka hama baranafata ifoto ya rusangi.